KWA MAWASILIANO ZAIDI TUMIA BARUA PEPE rockersports212@yahoo.com AU TUPIGIE KUPITIA NAMBARI 0767166607 AU 0717166607. KARIBU SANA. 66666666607 AU 0717166607

Friday, October 18, 2013

Jose Mourinho kujitoa kwa John Terry timu ya taifa ni ya haraka.

Meneja wa Chelsea Jose Mourinho anaamini kuwa John Terry huenda akawa amefanya haraka kutangaza kujiuzulu kuichezea timu ya taifa ya England.
Mlinzi huyo mwenye umri wa miaka 32 ameitumikia England jumla ya michezo 78 na kuondoka katika utumishi wa kimataifa mwezi Septemba mwaka jana baada ya sakata la ubaguzi lililomuhusisha mdogo wake Anton Ferdinand.
Mourinho anaamini kuwa unahodha wake ungetakiwa kuundelea kuhitajika baada ya kumalizika kwa matatizo yaho na kurejea kawaida.

 Terry ndani ya kikosi cha England
Caps: 78
Goals: 6
Captain: 34 times
Career: 9 years and 97 days 

Amenukuliwa Mourinho akisema
"Kama ningekuwa mchezaji ningesubiri timu ya taifa iniambie hainihitaji tena".
"Hiyo ndiyo hisia zangu. Ki ukweli alikuwa na sababu iliyomsukuma kufikia maamuzi hayo."

No comments:

Post a Comment