KWA MAWASILIANO ZAIDI TUMIA BARUA PEPE rockersports212@yahoo.com AU TUPIGIE KUPITIA NAMBARI 0767166607 AU 0717166607. KARIBU SANA. 66666666607 AU 0717166607

Thursday, November 7, 2013

Alain Traore wa Bukinabe arejea kuwavaa Algeria Novemba 19.

Alain Traore amerejea kikosini Burkina Faso na hivyo kuwa ni moja kati ya majembe imara ambayo yataipa nguvu sana timu katikia mchezo wa mtoano wa mkondo wa pili dhidi ya Algeria.
Mshambuliaji huyo wa Lorient mwenye umri wa miaka 25 amejumuishwa katika kikosi cha wachezaji 26 kwa ajili ya mchezo wa Novemba 19 mjini Blida, ambako Burkinabe italazimika kulinda ushindi wao wa mchezo wa mkondo wa kwanza wa mabao 3-2.
Mwenzie Jonathan Pitroipa, ambaye alikuwa mchezaji bora wa michuano ya mataifa ya Afrika amefurahishwa kwa kurejea kwa nyota huyo.

Goalkeepers: Abdoulaye Soulama (Asante Kotoko, Ghana), Daouda Diakité (FC Mounana, Gabon), Mohamed Kaboré (ASFA Yennega)
Defenders: Narcisse Bambara (FC Concordia, Romania), Issoufou Dayo (Etoile Filante), Bakary Koné (Lyon, France), Steeve Yago (Toulouse, France), Keba Paul Koulibaly (Al Shorta, Iraq), Jean-Noel Lingani (Horoya AC, Guinea), Madi Panandetiguiri (Chippa United, South Africa), Benjamin Balima (Sheriff Tiraspol, Moldova), Ibrahim Gnanou (FC Mounana, Gabon), Issa Gouo (Santos)
Midfielders: Moussa Yebda (Cotonsport, Cameroon), Florent Rouamba (Unattached), Charles Kaboré (FC Kuban Krasnodar, Russia), Djakaridja Koné (Evian, France), Jonathan Pitroipa (Rennes, France), Abdoul Razack Traoré (Gaziantespor, Turkey), Jonathan Zongo (Almería, Spain), Bertrand Traoré (Chelsea, England),
Forwards: Préjuce Nakoulma (Górnik Zabrze, Poland), Aristide Bancé (Fortuna Düsseldorf, Germany), Moumouni Dagano (Al Sailiya, Qatar), Issiaka Ouédrago (Admira Wacker, Austria), Alain Traoré (FC Lorient, France)

No comments:

Post a Comment