KWA MAWASILIANO ZAIDI TUMIA BARUA PEPE rockersports212@yahoo.com AU TUPIGIE KUPITIA NAMBARI 0767166607 AU 0717166607. KARIBU SANA. 66666666607 AU 0717166607

Thursday, November 7, 2013

Mourinho anasema Eto'o sasa anakuja.

Meneja wa Chelsea Jose Mourinho amemzungumzia mshambuliaji wake Samuel Eto'o akisema anaendelea kuimarika baada ya kuanza vibaya kwa kiwango wakati akijunga na Blues.

Eto'o, ambaye alijiunga na Chelsea akitokea klabu ya Urusi ya Anzhi Makhachkala kiangazi amefunga mabao mawili katika mchezo wa ushindi wa mabao 3-0 mchezo wa klabu bingwa Ulaya usiku wa jana Jumatano.
Mourinho amekaririwa akisema
"Haikuwa kitu cha kushangaza kwangu kwa kuja akiwa na kiwango kibovu baada ya miaka miwili akitokea Anzhi.

"Now step by step he is going. ana umri wa miaka 32 lakini yuko fiti mwenye umro zuri mwembamba"
Mreno huyo akaongeza kwa kusema
"Hana mwili wa uzito mkubwa. Ana akili na nadhani magoli haya yatampa kujiamini zaidi.
"Wachezaji wazuri kwangu ni wale wanaoshinda mechi na sio wale wanaopoteza mechi.

"Samuel worked with me in the best season of my career (at Inter). We won everything. So he's in a good position."

No comments:

Post a Comment