Hatimaye kocha wa timu ya taifa ya Hispania Vicente del Bosque amemjumuisha mshambuliaji mzaliwa wa Brazil Diego Costa katika kikosi chake kwa ajili ya michezo miwili dhidi ya Guinea na Afrika Kusini.
Mshambuliaji huyo wa klabu ya Atletico Madrid tayari ameshaitumia Brazil michezo miwili lakini michezo hiyo ilikuwa ni ya kirafiki hiyo ikiwa na maana ya kwamba mshambuliaji huyo mwenye umri wa miaka 25 ambaye alikuwa akisaka uraia wa Hispania wakati wa kiangazi yuko huru kuiwakilisha La Roja.
Brazil ilimuita Costa kwa michezo yao ya mwezi Novemba dhidi ya Honduras na Chile, lakini haraka alitupilia mbali ombi hilo baada ya rasmi kufanya maamuzi ya kuichezea Hispania.
Mshambuliaji huyo ameungana na Del Bosque akiwa na wachezaji wenzake wa Atletico kama David Villa.

Mshambuliaji wa Manchester City aliye katika kiwango hivi sasa Alvaro Negredo naye amejumuishwa lakini mshambuliaji wa Tottenham Roberto Soldado hana nafasi.
Kwingineko mlinda mlango, Iker Casillas ameendelea kuitwa licha ya kwamba ameendelea kuwa katika nafasi ya pili nyuma ya Diego Lopez katika klabu yake ya Real Madrid.
Spain squad:
Goalkeepers: Iker Casillas (Real Madrid), Victor Valdes (Barcelona), Pepe Reina (Napoli).
Defenders: Alvaro Arbeloa (Real Madrid), Raul Albiol (Napoli), Sergio Ramos (Real Madrid), Alberto Moreno (Sevilla), Juanfran (Levante), Javi Martinez (Bayern Munich), Inigo Martinez (Real Sociedad), Nacho Monreal (Arsenal).
Midfielders: Sergio Busquets (Barcelona), Xabi Alonso (Real Madrid), Koke (Atletico Madrid), Andres Iniesta (Barcelona), Santi Cazorla (Arsenal), Cesc Fabregas (Barcelona), Jesus Navas (Manchester City).
Forwards: Alvaro Negredo (Manchester City), Diego Costa (Atletico Madrid), Pedro (Barcelona), David Villa (Atletico Madrid), Juan Mata (Chelsea).

No comments:
Post a Comment