KWA MAWASILIANO ZAIDI TUMIA BARUA PEPE rockersports212@yahoo.com AU TUPIGIE KUPITIA NAMBARI 0767166607 AU 0717166607. KARIBU SANA. 66666666607 AU 0717166607

Saturday, November 9, 2013

Martino anawataka mashabiki wampe muda Lionel Messi.

  Bosi wa Barcelona Gerard Martino amesema kuwa mshambuliaji wake Lionel Messi ni "unpredictable" wakati huu ambapo anaendelea kurejesha hali ya afya yake vizuri baada ya kuwa katika kipindi cha majeraha.

Muajentina huyo hajafunga goli katika michezo minne ya Catalans kabla ya kufunga goli magoli mawili katika mchezo wa hivi karibuni wa ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya AC Milan, na kwamba mshambuliaji huyo mwenye umri wa miaka 26 anahitaji kupata muda kurejea vizuri katika kiwango chake.

"Tumuangalie Jordi Alba wakati akirejea katika mchezo wake wa kwanza baada ya maumivu hakuwa mzuri. Leo amesumbuliwa mara mbili na sasa anasaka ubora wake" Martino alikuwa akiongea na waandishi wa habari.

"Leo is very unpredictable. wiki iliyopita baada ya mchezo dhidi ya Madrid nilipokuwa nimeulizwa kuhusu hali yake baadaye siku tatu akafanya vema, chochote kinaweza kutokea kuhusu yeye"

Martino pia amezungumzia juu ya uwezo wa kuelewana baina ya Messi na Cesc Fabregas, akisema ni kawaida kuwaona wakifanya kazi pamoja vizuri na hii ni tangu wadogo huko La Masia.
"They’ve played together since they were kids. Players that have played alongside each other since they were 14 are logically going to be able to carry that on in the first division. My feeling is that all players that play well together also get on well. Cesc and Messi have a better understanding beause they've played together for so long."

No comments:

Post a Comment