KWA MAWASILIANO ZAIDI TUMIA BARUA PEPE rockersports212@yahoo.com AU TUPIGIE KUPITIA NAMBARI 0767166607 AU 0717166607. KARIBU SANA. 66666666607 AU 0717166607

Saturday, November 9, 2013

Munich wavunja rekodi ujerumani.

Bayern Munich imevunja rekodi ya Hamburg SV ya kipindi kirefu ya kucheza michezo 36 ya ligi kuu ya Ujerumani maarufu kama Bundesliga bila kufungwa baada ya hapo jana kuichapa Augsburg mabao 3-0.

Itakumbukwa The Bavarians walitwaa taji la Ujerumani msimu uliopita wakipoteza mchezo mmoja ugenini na pia kufungwa nyumbani na Bayer Leverkusen 2-1 Novemba mwaka jana.

Walimaliza kwa ujumla wa alama 25 mbele ya wanaowafuatao Borussia Dortmund na sasa wameanza kupaa tena katika msimu huu wakishinda michezo yote isipokuwa michezo miwili ambayo wamekwenda sare dhidi ya B04 na Freiburg.


No comments:

Post a Comment