KWA MAWASILIANO ZAIDI TUMIA BARUA PEPE rockersports212@yahoo.com AU TUPIGIE KUPITIA NAMBARI 0767166607 AU 0717166607. KARIBU SANA. 66666666607 AU 0717166607

Saturday, November 9, 2013

Mchezaji wa mbio za magari wa Lotus Kimi Raikkonen atua Ferrari kwa ajili ya kuweka viti gari mpya.

Kimi Raikkonen ametembelea Ferrari kwa ajili ya kuweka viti katika garin lake kuelekea kurejea kwake katika timu msimu ujao.
The Finn amenunua gari jipya na alipata fursa ya kukutana na mkuu wa timu Stefano Domenicali alhamisi iliyopita.
Hiyo ilikuwa ni mara ya kwanza kwa bingwa huyo wa mwaka 2007 wa mbio za magari za Ferrari  kutembelea Maranello tangu alipoendesha gari mwaka 2009
Wiki iliyopita alipokuwa Abu Dhabi , Raikkonen alikaririwa akisema hatashiriki katika mbio mbili za mwisho wa msimu ikiwa Lotus hawata kamilisha ahadi ya kumaliza mzozo wa kifedha.

Fernando Alonso, anataka kuungana na Raikkonen kama mchezaji mwenzake wa timu moja 2014, anaendelea kuponya maumivu ya mgongo maumivu aliyoyapata wakati wa Abu Dhabi Grand Prix wiki iliyopita.

No comments:

Post a Comment