KWA MAWASILIANO ZAIDI TUMIA BARUA PEPE rockersports212@yahoo.com AU TUPIGIE KUPITIA NAMBARI 0767166607 AU 0717166607. KARIBU SANA. 66666666607 AU 0717166607

Wednesday, December 4, 2013

Jose Mourinho anasema Arsenal hawana maisha kwenye kilele cha msimamo wa ligi.

Jose Mourinho anasisitiza kuwa kinara wa ligi kuu ya soka nchini England Arsenal hawna maisha kileleni na kwamba anaamini kuwa Manchester City na Chelsea ndio wapigania taji la ligi hiyo msimu huu.
Mourinho ataanza kazi ya kupunguza pengo la alama nne nyuma ya Arsenal dhidi ya muda mfu ujao.
 Mourinho ameeleza kuwa anaogopa zaidi kikosi cha City 
‘City hawana wachezaji wakongwe ukiwaangalia wote pia ni wakomavu na wenye  uzoefu mkubwa, Sergio Aguero, Edin Dzeko, Alvaro Negredo, pamoja na Stevan Jovetic, hawa ni washambuliaji wanne.'
‘Ukielekea maeneo mengine utaona Yaya Toure, Fernandinho, hakuna aliye na umri zaidi ya miaka 30 na hakuna mwenye umri chini ya miaka 23. Kikosi kinaleta raha.

Defiant: Mourinho (left) believes Manchester City are Chelsea's biggest threat for the Premier League title despite Arsenal's four-point lead
Akizungumzia washika mitutu Mourinho amesema Manchester United ina alama tisa nyuma ya Arsenal. Ni pengo kubwa. Tottenham alama 10. ni pengo kubwa lakini sio pengo kwetu kwa michezo miwili tunaweza kulifuta.

No comments:

Post a Comment