Don't mention the score!
Mertesacker baada ya mchezo wa kichapo kutoka kwa Manchester City cha mabao 6-3 alikerwa na kitendo cha Mesut Ozil kwa kutokuwapungia mikono mashabiki wa Arsenal
Per Mertesacker na Mesut Ozil
walionekana dhahiri kufokeana wakati wakiondoka uwanjani Etihad baada ya kulambwa boko 6-3.
Mertesacker
alimfuata Ozil ambaye ni mmoja wa marafiki zake wakubwa uwanjani na kummnyooshea kidole usoni huku akifoka baada ya filimbi ya mwisho.
Hiyo inaelezwa kuwa ni tabia ya Ozil ya kutokuwapungia mikono mashabiki wa timu hiyo wanapokuwa katika viwanja vya ugenini huku bosi wake Arsene Wenger akikaririwa akisema
'Huyu mjerumani atabadili hiyo tabia msiwe na shaka'



Jack Wilshere na Mertesacker wakiwawapungia na kupiga makofi kwa mashabiki wao baada ya mchezo.



No comments:
Post a Comment