Champions League Group D
- Venue: Allianz Arena
- Date: 10 December, 2013
- Kick-off: 19:45 GMT
David Silva atakuwepo uwanjani kwa upande wa Manchester City katika mchezo wa mwisho wa hatua ya makundi dhidi ya Bayern Munich lakini watamkosa Yaya Toure
na Gael Clichy.
Timu zote zimeshafuzu tayari kuelekea hatua ya mtoano huku City wakiwa nyuma kwa alama tatu na wakihitaji ushindi mkubwa zaidi kuweza kuongoza kundi kwa idadi ya mabao.
Toure amesimamishwa huku Clichy akiuguza mguu , Matija Nastasic na Stevan Jovetic (wote msuli) na wajasafiri.
Bosi wa City Manuel Pellegrini amekaririwa akisema
"wachezaji wengine wote ukiachilia hao waliotajwa"
Kikosi cha City kinatarajiwa kuwa na
Hart, Pantilimon, Zabaleta, Richards, Kompany, Lescott, Demichelis,
Boyata, Kolarov, Milner, Navas, Nasri, Fernandinho, Rodwell, Garcia,
Silva, Aguero, Negredo, Dzeko. joined the injured list after :

No comments:
Post a Comment