 |
Richie na Jb |
Jana kulikuwa na mechi kati ya wasanii wa Bongo movie na wale wa
Bongofleva katika viwanja vya TTC Chang'ombe huku Bongofleva ikiishia
kunyukwa magoli 3 kwa 2. Mastaa mbalimbali kama vile Ray, Richie,
Jackline Wolper, H.Baba , Abdul Kiba, KR Mullah, JB, Baba Haji,
Efranciah Mangii, Shamsa Ford, Cloud na wengineo walikuwepo kwa ajili ya
kunogesha issue hiyo.
 |
Timu ya Bongo movie |
 |
Timu ya Bongofleva |
 |
JB anaongoza zoezi la kupasha viungo kwanza kabla ya kipute kuanza rasmi |
 |
Sidhani kama ingewezekana Cloud kumruka JB kweli Kitambi noma. |
 |
Kupa na wenzake |
 |
JB huyoooooooo.................Cloud pembeni |
 |
Wachezaji wa Bongo Fleva KR na Abdul Kiba |
Kazi kwelikweli mimi naona hizi kazi zinalipa sana namna hii. Badra Idabu na Efranciah
No comments:
Post a Comment