KWA MAWASILIANO ZAIDI TUMIA BARUA PEPE rockersports212@yahoo.com AU TUPIGIE KUPITIA NAMBARI 0767166607 AU 0717166607. KARIBU SANA. 66666666607 AU 0717166607

Friday, January 10, 2014

Xabi Alonzo aongeza muda ndani Santiago Bernabeu mpaka 2016

Xabi Alonzo ameweka wazi juu ya furaha yake ya kutaka ndani klabu yake na kutaka kuongeza mkataba mpya na klabu yake ya Real Madrid mpaka 2016.

Nyongeza ya miaka miwili ya Alonzo ndani ya klabu hiyo kunamaliza tetesi kuwa kiungo huyo alikuwa na mpango wa kuondoka Santiago Bernabeu mwishoni mwa msimu.

Pia Alonso amesisitiza kuwa kulikuwa hakuna shaka kuwa angeongeza muda zaidi ndani ya klabu hiyo.

"Real Madrid ni timu bora ya kuendela kuwepo, “I feel at home here".

No comments:

Post a Comment