![]() |
| Simon Msuva akiwatoka mabeki wa Komorozine ya Comoro |
![]() |
| Msuva akipambana na mlinzi wa Komorozine Ahmad Houmadi |
![]() |
| Wachezaji wa Yanga wakimpongeza Nadir Haroub Kanavaro aliyefunga bao la pili |
![]() |
| Mashabiki wa Yanga wakifuatiali mchezo huo |
![]() |
| Kiungo wa Yanga Haruna Niyonzima akijaribu kumuhadaa mlinzi wa Komorozine Ally Mohamed |
![]() |
| Mshambuliaji wa Yanga Hamisi Kiiza akiandika bao la nne la Yanga |
![]() |
| Mrisho Ngasa akiandika bao la sita na kukamilisha mabao yake matatu yaani Hat-trick |







No comments:
Post a Comment