Barcelona na Bayern Munich kwa pamoja wamedhihirisha dhahiri kulipiga kumbo English football wiki hii huku kila mmoja akiua mpinzani wake kutoka England kwa kufunga magoli magoli ya dakika za mwisho.
Mashabikiwa Manchester
City na wale wa Arsenal wanahisi hali kuwa ngumu, na watakuwa wakiendelea na kiwewe cha kadi mbili nyekundu kuwa zimebadilisha mwelekeo wa viwango vyao vya uchezaji na kuamua matokeo ya michezo hiyo.
Wapinzani wao watasema walitumia faida ya fursa moja moja walizopata na kuzitumia.
Ni dhahiri shahiri kwamba Barcelona wanacheza -wonderful football- na Bayern ni timu kali kwa tafsiri nzuri ya maneno ya kingereza unaweza kusema ni 'Ruthless powerhouse' lakini swali ni kwamba kwasasa ni timu ipi namba moja kwa ubora?
Wachezaji wa Barcelona wakishangilia wakati wa mchezo wao walioshinda kwa mabao 2-0 dhidi ya Manchester City mchezo uliopigwa Etihad
Wachezaji wa Bayern Munich pia wakishangilia katika mchezo walioshinda kwa mabao 2-0 ugenini dhidi ya Arsenal mchezo uliopigwa Emirates
Martin Demechelis alitolewa nje ya uwanja baada ya kumfanyia madhambi Lionel Messi.
Wojciech Szczesny pia alitolewa nje kufuatia kumuangusha Arjen Robben katika eneo la hatari kipindi cha kwanza
Kroos na Thiago ndio Xavi na Iniesta wapya
Idadi ya pasi kwa wachezaji wa vilabu vya Barcelona na Bayern dhidi ya Manchester City na Arsenal
Kroos (Bayern)147
Xavi (Barcelona)128
Lahm (Bayern) 122
Fabregas (Barcelona) 98
Busquets (Barcelona) 98
Thiago (Bayern) 97
Iniesta (Barcelona) 85
Alves (Barcelona) 81
Dante (Bayern) 79
Messi (Barcelona) 77
Xavi (Barcelona)128
Lahm (Bayern) 122
Fabregas (Barcelona) 98
Busquets (Barcelona) 98
Thiago (Bayern) 97
Iniesta (Barcelona) 85
Alves (Barcelona) 81
Dante (Bayern) 79
Messi (Barcelona) 77
Hebu tuangalie pasi alizocheza Toni Kroos. Ametoa pasi 152, huku pasi 147 zikifika ambazo ni zaidi ya pasi zote zilizopigwa na viungo wa Arsenal.
Alikuwa akicheza dhidi ya timu ya watu 10 huu bado ni uwezo wa hali ya juu. Meneja wa Manchester United David Moyes alikuwa akiangalia mchezo huo uliopigwa katika dimba la Emirates na hakika atakuwa alikuwa akikuna kichwa na huku akijiuliza ‘Kwanini sikufanya jitihada katika dirisha la usajili?’
Kroos
amekuwa na matatizo ya kimkaba na klabu yake — hadhani kama wanamlipa ipasavyo. Bila shaka baada ya mchezo huo dhidi ya Arsenal uliopita ambapo alionyesha soka la hali juu ni wazi suala la malipo litakuwa mgogoro mpya tena wa muda mrefu.
Bayern haitakuwa na utayari wa kumruhusu aondoke. Yeye pamoja na kiungo mwingine mkali Thiago
ndio viungo wapya pacha wanaongoza katika dunia ya mpira wa miguu.
Wawili hao kwasasa-They ooze
power and quality.
Utawala wa Kroos, Bayern Munich imemthamisha kiungo huyo kwa thamani ya pauni milioni 50 na akitakiwa na Manchester United
Unaweza kuwaita 'Past masters'? Viuongo wa Barcelona Xavi na Andres Iniesta (kulia) walikuwa wakijulikana zaidi kuwa ndio viungo bora duniani
Mkali wa kupiga pasi: Thiago Alcantara (kushoto) ameongeza nguvu ya kiungo cha Bayern akijiunga na timu hiyo akitokea Barcelona
Neuer is the world’s best
One
goalkeeper has a swaggering air of confidence, the other breeds chaos.
Manuel Neuer is the undisputed world No 1. His penalty save from Mesut
Ozil, when Arsenal had started brilliantly, changed the mood of the
game.
He looked like a
beast filling the goal. Victor Valdes looks a bag of nerves. Barcelona
still seem to attempt seat-of-their-pants defending, with last-ditch
tackles and Javier Mascherano looking like he is about to be exposed.
Valdes doesn’t help much.
Safe hands: Bayern keeper Manuel Neuer (R) silenced Arsenal with his first-half penalty save
He's behind you! Arsene Wenger (R) looks on after Mesut Ozil misses a penalty that defined the game
Goalmouth scramble: Victor Valdes (ground) cuts a far less imposing figure in between Barcelona's sticks
No cigar! David Silva reacts after seeing a good opportunity go to waste after his effort is saved by Valdes
Bayern’s defence didn’t
look too happy during the first 30 minutes either. Jerome Boateng,
especially, had a poor start and his position for the penalty he
conceded was terrible. He was booked and then removed at half-time. That
will give hope to anyone who fears Bayern are unbeatable. Arsenal
showed how to make them uncomfortable, but they had to score at that
point.
The missed penalty sucked the life out of them and Bayern grew from there.
An overrated role
Javi
Martinez (Bayern) and Sergio Busquets (Barcelona) have the best jobs in
world football. Who wouldn’t want to play at the base of these
midfields with so much quality around them?
Unsung hero: Bayern Munich enforcer Javi Martinez (2L) moved from midfield to defence against Arsenal
Demolition man: Sergio Busquets breaks up play to allow his Barcelona teammates to create chances
Changing man: Bayern Munich's Philipp Lahm (R) has reinvented himself as a holding midfielder
But I think this role
in any team is overrated. Yes, you are the quarterback, but there is a
lot of time on the ball to dictate the game.
Bayern
were better when Martinez went into the back four and the marvellous
Philipp Lahm switched from full back into midfield. They had more
purpose about them.
Unfinished business
There is more to come from Bayern. They are an incredible football side and they will only get better.
The
signing of Robert Lewandowski will give them more firepower. Mario
Mandzukic is very good but Lewandowski is a mighty upgrade.
Incoming: Bayern Munich will be strengthened by the arrival of Robert Lewandowski in the summer
In reserve: Mario Mandzukic (2R) is not a bad back up while Bayern wait for Lewandowski to seal his move
Pep Guardiola knows
what he is building and how to get there. He has created a team before.
We saw flashes of Lionel Messi in Manchester on Tuesday night, but can
he return to his most blistering form?
He’s not there yet but at least he broke his remarkable duck by scoring his first goal at a Barclays Premier League ground.
King of the dug out
Pep
Guardiola is king. He created the modern Barcelona and is doing the
same with Bayern Munich. Bayern beat Barcelona 7-0 on aggregate last
season before Pep arrived.
He is taking them up to another level. Barcelona have added Neymar to their squad but I don’t believe they have improved.
Bayern
are ahead of Barcelona now and Guardiola has the task of helping them
become the first club to deliver back-to-back Champions League triumps.
They are on course.
No comments:
Post a Comment