MCHEZA tenisi Elena Baltacha amefariki dunia ikiwa ni pungufu ya miezi tangu alipotangaza kuwa amegundulika na maradhi ya kansa ya ini.
Mchezaji huyo wa zamani namba moja kwa ubora wa uchezaji mchezo huo nchini Uingereza inasemakana kuwa amekuwa akipambana na maradhi hayo muda mfupia tangu habari za kuonekana na ugonjwa huo zilivyo anza kuzagaa mwezi machi.
Usiku wa jana habari zikatolewa kuwa amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 30 huku mumewe ambaye wametoka kufunga ndoa hivi karibuni kuonekana kukosa amani baada ya taarifa hizo.
Kipaji: Raia huyo wa Uskochi alikuwa ameshafikia katika kiwango cha nafasi ya 49 ya ubora duniai mwaka 2010
Katika taarifa iliyotplewa kwa niaba ya familia yake wakala wake amesema
'Ni huzini kubwa tunawaletea taarifa hizi Elena
Baltacha amefarikia mapema Jumapili kutokana na maradhi ya kansa ya ini amefarikia akiwa na umri wa miaka 30.
'Elena,
ambaye mara nyingi alikuwa akiitwa kwa jina la utani Bally, aligundulika na kansa katikati ya January 2014, miezi miwili baada ya kustaafu kucheza mchezo wa kulipwa na ni siku chache baada ya kuingia kwenye ndoa na Nino Severino ambaye ni kocha na swahiba wake wa siku ngingi.
Miss Baltacha na mumewe kocha Nino Severino enzi za uhai wake
No comments:
Post a Comment