KWA MAWASILIANO ZAIDI TUMIA BARUA PEPE rockersports212@yahoo.com AU TUPIGIE KUPITIA NAMBARI 0767166607 AU 0717166607. KARIBU SANA. 66666666607 AU 0717166607

Monday, May 19, 2014

Manchester United na Arsenal waambiwa watafute pauni milioni £45 kumnasa Cesc Fabregas

Mara nyingine tena: United ilishindwa kumpata Cesc Fabregas msimu uliopita je safari watarejea tena.

  • Fabregas huenda akaondoka Nou Camp na klabu hiyo ikitana kuabadili kizazi.
  •  
  • Javier Mascherano, Daniel Alves, Pedro and Cristian Tello pia huenda wakauzwa endapo ofa nzuri zitajitokeza.
  • Shinji Kagawa hataondoka hii ikiwa ni kauli ya meneja wake.
  • Eden Hazard bado yuko katika orodha ya wachezaji wanao waniwa na PSG majira ya kiangazi kama ilivyo kwa David Luiz
  • Ross McCormack, anafukuziwa na Malaga, amethaminishwa kwa pauni milioni £8million na Leeds
  • West Bromwich Albion, Norwich na Brighton wanamtolea macho Sami Hyypia

Manchester United na Arsenal zimeelezwa kuwa wanaweza kumsajili Cesc Fabregas endapo watakuwa tayari kumchukua kwa thamani ya pauni milioni £45.
United ilishindwa katika jaribio kama hilo msimu uliopita ambapo kiungo huyo mwenye umri wa miaka 27 alitaka kuendelea kusalia Camp Nou.
Nafasi iko pale pale wakati huu ambapo klabu ya Barcelona ikitaka kufanya mabadiliko kiangazi na mpango wa kumuuza sambamba na Alexis Sanchez unaonekana kama ni nji bora kwao ya kupata fedha kuelekea mpango huo uliosimama.

Javier Mascherano, Daniel Alves, Pedro na Cristian Tello pia watauzwa endapo fedha ya maana itawekwa mezani.

Wakati huohuo kiungo wa United hinji Kagawa hatazamiwili kuondoka Old Trafford wakati wa kiangazi hizi zikiwa ni taarifa zilizothibitishwa na wakala wake.

Akizungumza kabla ya fainali ya DFB nchini Ujerumani kati ya Dortmund na Bayern Munich Jumamosi iliyopita, Thomas Kroth amelieleza jarida la 'kicker' kwamna Kagawa mwenye umri wa miaka 25, hana mpango wa kuondoka.

'Shinji atacheza kombe la dunia na baadaye ataangalia mpango wa meneja mpya. Kwasasa haonekani kuondoka kiangazi.'
Staying put: Shinji Kagawa is unlikely to leave Old Trafford in the summer, his agent has said
Shinji Kagawa