KWA MAWASILIANO ZAIDI TUMIA BARUA PEPE rockersports212@yahoo.com AU TUPIGIE KUPITIA NAMBARI 0767166607 AU 0717166607. KARIBU SANA. 66666666607 AU 0717166607

Saturday, May 17, 2014

Real Madrid wamaliza ligi kwa ushindi licha ya kumkosa Ronaldo

Licha ya kutokuwepo kwa mshambuliaji hatari wa Real Madrid Cristiano Ronaldo bado klabu hiyo imefanikiwa kumaliza vema ligi kuu ya nchini Hisapania La Liga kwa ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya Espanyol kupitia kwa Gareth Bale na Alvaro Morata aliyefunga mabao mawili.

Ronaldo, alitonesha aliumia katika mchezo ulitoa matokeo ya sare ya bao 1-1 dhidi ya Real Valladolid mapema mwezi huu ambapo hii wakati wa kupasha misuli moto alijitonesha na nafasi yake kuchukuliwa na Isco.


Inavoonekana katika mchezo wa fainali mjini Lisbon wa klabu bingwa Ulaya huenda Real Madrid wakamkosa pia Karim Benzema ambaye hii leo ameonekana kuumia katika dakika ya 67.

No comments:

Post a Comment