KWA MAWASILIANO ZAIDI TUMIA BARUA PEPE rockersports212@yahoo.com AU TUPIGIE KUPITIA NAMBARI 0767166607 AU 0717166607. KARIBU SANA. 66666666607 AU 0717166607

Tuesday, July 22, 2014

JAMES RODRIGUES KUTAMBULISHWA RASMI USIKU NA REAL MADRID, ANAKUWA MCHEZAJI NAMBA NNE KWA THAMANI DUNIANI

James Rodriguez akifanyiwa vipimo mapema asubuhi ya leo Madrid akitarajiwa kutangazwa rasmi usiku huu
Real Madrid imekubali kumsajili nyota mshindi wa tuzo ya ufungaji bora katika fainali ya kombe la dunia 'Golden Boot' James Rodriguez akitoke klabu ya Monaco.
mshambuliaji huyo wa kimataifa wa Colombia amekubali kuingia mkataba w miaka sita na Madrid na hii leo amefanyiwa vipimo vya afya na akitarajiwa kuwekwa wazi mbele ya wana habari usiku huu.
Hata hivyo klabu hiyo haikuweka wazi ada ya uhamisho wa mshambuliaji huyo lakini taarifa zinasema kuwa huenda akawa amesajili kwa pauni £60 akiwa ni mchezaji nambari nne mwenye thamani ya juu zaidi baada ya Gareth Bale, Cristiano Ronaldo na Luis Suarez.
Ready for the big stage: Rodriguez comes to Madrid having outshone Cristiano Ronaldo at the World Cup
Rodriguez akiwasili Madrid