KWA MAWASILIANO ZAIDI TUMIA BARUA PEPE rockersports212@yahoo.com AU TUPIGIE KUPITIA NAMBARI 0767166607 AU 0717166607. KARIBU SANA. 66666666607 AU 0717166607

Thursday, July 3, 2014

Mazoezi ya klabu bingwa Tanzania Bara Azam fc uwanja wa Chamazi ni zaidi ya burudani

Kiungo Salum Abubakar 'Sure Boy' kulia akimiliki mpira mbele ya mshambuliaji mpya wa kabu hiyo Ismaila Diara raia wa Mali wakati wa mazoezi asubuhi ya leo Uwanja wa Azam Complex, Chamazi, Dar es Salaam.