KWA MAWASILIANO ZAIDI TUMIA BARUA PEPE rockersports212@yahoo.com AU TUPIGIE KUPITIA NAMBARI 0767166607 AU 0717166607. KARIBU SANA. 66666666607 AU 0717166607

Wednesday, August 13, 2014

Mwamuzi mstaafu Howard Webb: Mimi sio shabiki wa Manchester United wala sikuwahi kuipendelea

Mwamuzi wa kiwango cha juu: Webb amepuliza filimbi katika fainali mbili za kombe la dunia na alichezesha mchezo wa fainali ya kombe la duni mwaka  2010 baina ya Uholanzi na Hispania.
Mwamuzi wa zamani Howard Webb hatimaye amejibu madai yaliyokuwa yakimchafua kuwa wakati wa uchezeshaji wake wa mpira alikuwa akiipendelea Manchester United.
Mashabiki mara nyingi wakihoji wasifu wa mwamuzi huyo ambapo nyota wa Liverpool Ryan Babel alijikuta akipigwa faini ya pauni £10,000 kwa kuweka picha ya kutengeneza ya mwamuzi huyo akiwa amevalia jezi ya United katika ukurasa wake wa Twitter kufuatia kichapo kutoka kwa United katika michuano ya FA mwaka 2011.
Webb, aliyetangaza kustaafu kupuliza filimbi wiki iliyopita na kuanza kazi ya ukurugenzi wa ufundi kupitia kampuni ya 'Professional Game Match Officials Limited', amekanusha vikali kuwa hakuwahi kuipendelea United.
Making a point: Howard Webb has hit back at claims that he was biased towards Manchester United
Making a point: Howard Webb amewajibu watu waliokuwa akisema kuwa yeye alikuwa akiipendelea Manchester United
Mocked-up: Webb said rival fans continually accusing him of being biased never had an affect on his game
Yakutengeneza:Inasemekana kuwa mashabiki wameendelea kumdhihaki kwa shutuma mwamuzi huyo mstaafu kuwa alikuwa akipendeleaPunished: Former Liverpool frontman Ryan Babel was fined £10,000 for linking a picture of Webb mocked up in a Man United shirt on Twitter
Mshambuliaji wa zamani wa LIverpool Ryan Babel alipigwa faini ya £10,000 kuweka picha ya Webb katika ukurasa wake wa twitter akiwa na jezi ya Man United