KWA MAWASILIANO ZAIDI TUMIA BARUA PEPE rockersports212@yahoo.com AU TUPIGIE KUPITIA NAMBARI 0767166607 AU 0717166607. KARIBU SANA. 66666666607 AU 0717166607

Wednesday, August 13, 2014

Paui milioni 15.9 za United kumng'oa Marco Rojo Sporting Lisbon

Marco Rojo kujiunga na United?
Manchester United ina imani ya kufanikisha usajili wa Marcos Rojo kufuatia klabu yake ya Sporting Lisbon kuambiwa kuwa wanapaswa kumuuza mlinzi huyu ama klabu hiyo kukumbana na faini.
United hapo jana ilitangaza kuweka mezani pauni milioni 15.9 kwa ajili ya Rojo ofa ambayo imechagizwa na vita ya kutaka kuondoka kwake Lisbon.