KWA MAWASILIANO ZAIDI TUMIA BARUA PEPE rockersports212@yahoo.com AU TUPIGIE KUPITIA NAMBARI 0767166607 AU 0717166607. KARIBU SANA. 66666666607 AU 0717166607

Wednesday, August 13, 2014

Rockersports video: Hivi ndivyo Patrick Phiri alivyopokelewa na hiki ndicho alichosema kwa wanachama na wapenzi wa SimbaIkiwa ni siku tatu baada ya kufukuzwa kazi kwa kocha Zdravko Logarusic, uongozi wa klabu ya Simba hii leo umempokea aliyewahi kuwa kocha wa klabu hiyo Mzambia Patrick Phiri tayari kwa kimataifa wa Mwalimu Nyerere, alikaririwa akisema 'Phiri amekuja na mufanya naye mazungumzo kabla ya kuingia mkataba wa kukinoa kikosi cha wekundu hao wa Msimbazi.

Phiri baada ya kutua uwanja wa ndege akombe pia yanakuja Simba' kauli ambayo imepokelewa kwa furaha na wanachama na wapenzi wa klabu hiyo.

Phiri anatarajiwa kuanza kazi hiyo ikiwa ni siku kadhaa zimesalia kabla ya dirisha la usajili halijafungwa rasmi huku ligi kuu ya soka Tanzania bara ikitarajiwa kuanza kutimua vumbi Septemba 20.