KWA MAWASILIANO ZAIDI TUMIA BARUA PEPE rockersports212@yahoo.com AU TUPIGIE KUPITIA NAMBARI 0767166607 AU 0717166607. KARIBU SANA. 66666666607 AU 0717166607

Friday, August 22, 2014

Nyota wa Real Madrid wawasili na kuongelea ziara yao nchini Tanzania

Mratibu ziara ya Real Madrid Denis Ssebo akiongea na waandishi wa habari juu ya ziara ya Magwiji wa Real Madrid ambao watacheza mchezo wa kirafiki na wachezaji wa zamani nyota  wa Tanzania mchezo ambao utapigwa uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam hapo kesho. kulia kabisa ni Christian Carembeu, Luis Figo katikati na Fernando Sanz Duran wapili kutoka kushoto.

Kocha Jamhuri Kihwelu wa Tanzania Eleven akiongea mbele ya waandishi wa habari juu ya maandalizi ya kikosi chake


Christian Sanz naye alipata nafasi ya kuongea na wanahabari

Christian Carembeu katikati naye alipata nafasi ya kuongea na wanahabari.