KWA MAWASILIANO ZAIDI TUMIA BARUA PEPE rockersports212@yahoo.com AU TUPIGIE KUPITIA NAMBARI 0767166607 AU 0717166607. KARIBU SANA. 66666666607 AU 0717166607

Wednesday, September 24, 2014

Shakira atia shubiri safari ya Gerard Pique kurejea Old Trafford mwezi Januari

Pique (kulia) na mpenzi wake Shakira wakifuatilia mchezo wa kombe la dunia mjini Barcelona mapema mwezi huu
Mipango ya Manchester United ya kutaka kumrejesha Old Trafford Gerard Pique inaonekana kutiwa shubiri na nyota wa muziki wa Pop Shakira.
Mpenzi wa mlinzi huyo wa Barcelona anaonekana hataki kuondoka mji wa Katalunya na kuelekea Manchester. Uhamisho huo huenda ukazua mzozo baina ya wapendanao hao.
Pique hana furaha ndani ya Nou Camp kufuatia kuwekwa benchi baada ya kusajiliwa kwa Jeremy Mathieu.
Gerard Pique, in action against APOEL, will not be moving back to Manchester United
Gerard Pique, akiwa kazini katika mchezo dhidi ya APOEL, huenda asirejee Manchester United baada ya mpenzi wake kugomea maisha ya jiji la Manchester
Pique (centre) signs for Manchester United in 2004 alongside Sir Alex Ferguson (right) and David Gill
Pique (katikati) akisani kuichezea Manchester United mwaka 2004 akiwa karibu na meneja wa wakati huo wa mashetani wekundu Sir Alex Ferguson (kulia) na mtendaji mkuu David Gill

Taarifa nchini Hispania zinaarifu kuwa Pique huenda akajerea Old Trafford, wakati huu ambapo Louis van Gaal anahitaji walinzi wa kuimarisha safu yake ya ulinzi.
Shakira and Pique pucker up courtside during the Basketball World Cup match between Slovenia and USA
Shakira na Pique katika penzi zito wakati wa michezo ya kombe la dunia la Basketball kati ya Slovenia na USA
Shakira and Pique look in good spirits as they enjoy the Basketball World Cup
Shakira na Pique wakiwa katika furaha