England
itakuwa mwenyeji wa michezo mingine mikubwa baada ya uwanja wa Wembley kuzawadiwa michezo ya fainali na nusu fainali ya Euro 2020 machakato wa kurea ukifanyika hii Geneva Uswiz.
Jiji la Munich
lilijotoa katika hatua za mwisho kuwania nafasi hiyo na kupelekea jijini London kupitia uwanja wa Wembley kupitishwa na kamati ya utendaji ya UEFA.
Michuano hiyo katika hatua za awali itapigwa katika majiji 13 barani Ulaya

Rais wa UEFA Michel Platini
pichani kushoto akitangaza London kuwa mwenyeji wa fainali ya Euro 2020 pamoja na nusu fainali akiwa pamoja na mrembo za zamani wa Switzerland Melanie Winiger mjini Geneva

Platini akitabasamu na mwenyekiti wa FA Greg Dyke akiwa na kikombe baada ya kumaliza zoezi la kutangaza London kuwa mwenyeji wa michezo ya fainali na nusu fainali ya EUFA 2010

Wembley una uwezo w kuchukua watazamaji 90,000 waliokaa

No comments:
Post a Comment