KWA MAWASILIANO ZAIDI TUMIA BARUA PEPE rockersports212@yahoo.com AU TUPIGIE KUPITIA NAMBARI 0767166607 AU 0717166607. KARIBU SANA. 66666666607 AU 0717166607

Friday, September 19, 2014

Gareth Bale: Bado naipenda Tottenham naweza kurejea siku moja

Gareth Bale alihama Spurs masimu uliopita
Gareth Bale amezungumzia dokezo la kurejea Tottenham hapo baadaye.
Nyota huyo wa Real Madrid aliondoka White Hart Lane msimu uliopita kwa rekodi ya dunia ya uhamisho na ameendelea kuimarisha kiwango chake nchini Hispania.
Lakini licha ya kuonekana ametulia ndani ya kikosi akiwa sambamba na Cristiano Ronaldo ndani ya Bernabeu, Bale amesema bado anaipenda Tottenham.
‘Tottenham siku zote itaendelea kuwepo ndani ya moyo wangu. Natumaini mashabiki bado wananipenda inagawa nimeondoka,’ Alikuwa akiongea na BT Sport.
‘Nwapenda mashabikiwa Spurs. HUwezi jua ninaweza kurejea siku moja.

No comments:

Post a Comment