KWA MAWASILIANO ZAIDI TUMIA BARUA PEPE rockersports212@yahoo.com AU TUPIGIE KUPITIA NAMBARI 0767166607 AU 0717166607. KARIBU SANA. 66666666607 AU 0717166607

Thursday, September 18, 2014

Mario Balotelli aungana na gari lake aina ya Ferrari F12 Berlinetta lililosafiri kutoka Italia kumfuata England

Balotelli aliwasili Melwood akiwa na gari lake kipenzi Ferrari F12 Berlinetta

Mario Balotelli hii leo ameonyesha waziwazi mahaba yake kwa gari lake la kifahari aina ya Ferrari F12 Berlinetta lenye thamani ya pauni £240,000 ambalo lilisafirishwa kwa meli kutoka nchini Italia.

Mshambuliaji huyo mwenye umri wa miaka 24 sasa ameungana na gari lake hilo analolipenda ambalo liliwasili katika uwanja wa mazoezi wa Melwood ambapo mshambuliaji huyo aliungana na wachezaji wenzake kujiandaa na mchezo wa ligi dhidi ya West Ham utakao pigwa Jumamosi.

Balotelli aliungana na meneja Brendan Rodgers akitokea AC Milan uhamisho uliogharimu pauni milioni 16.
The Liverpool forward will no doubt be delighted to be reunited with his supercar
The Italian car is Balotelli's favourite motor and he was frequently spotted with it in Italy
Balotelli (left) was pictured outside his Ferrari F12 Berlinetta whilst in Milan