KWA MAWASILIANO ZAIDI TUMIA BARUA PEPE rockersports212@yahoo.com AU TUPIGIE KUPITIA NAMBARI 0767166607 AU 0717166607. KARIBU SANA. 66666666607 AU 0717166607

Monday, October 20, 2014

Michael Carrick kutokelezea uwanjani uwanjani usiku huu dhidi ya West Brom

Michael Carrick anatajia kuwepo katika kikosi cha Manchester United usiku wa leo baada kuponya kwa haraka majeraha ya enka yaliyokuwa yakimsumbua.
Manchester United watakuwa wakikabiliana na West Brom na habari zinasema kuwa Carrick ametajwa na meneja wake Louis van Gaal kuwemo katika kikosi hicho.
Carrick alikosekana kwa karibu msimu mzima mpaka sasa lakini timu ya watabibu wa klabu yake wamepigania vilivyo afya yake kiasi kwamba hii leo katika hali ya kushitua ametangazwa kuwepo kikosini.

No comments:

Post a Comment