KWA MAWASILIANO ZAIDI TUMIA BARUA PEPE rockersports212@yahoo.com AU TUPIGIE KUPITIA NAMBARI 0767166607 AU 0717166607. KARIBU SANA. 66666666607 AU 0717166607

Tuesday, October 21, 2014

Reds Miss Tanzania ashindwa kujitetea suala la udanganyifu wa umri wake mbele waandishi wa habari

Sitti Mtemvu membo wa taji la Reds Miss Tanzania 2014 akitetea umri wake mbele ya waandishi wa habari hii
Hashimu Lundenga kutoka Lino INternationa Agency ambao ni waandaaji wa shindano la Reds Miss Tanzania akijitahidi kuelezea uhalali wa umri wa mrembo Siti Abasi Mtemvu aliyeshinda taji hilo mwaka huu wa 2014