KWA MAWASILIANO ZAIDI TUMIA BARUA PEPE rockersports212@yahoo.com AU TUPIGIE KUPITIA NAMBARI 0767166607 AU 0717166607. KARIBU SANA. 66666666607 AU 0717166607

Tuesday, October 21, 2014

Steven Gerrard: Niliwahi kufuatwa na Mourinho alipokuwa Santiago Bernabeu na nilikataa kujiunga na Madrid

Steven Gerrard amesema anaweza kugomea fursa ya kujiunga na Real Madrid huku kiungo huyo mzoefu akitanabaisha kuwa alikuwa akiwindwa na na mabingwa watetezi wa taji huko nyuma.

Kiungo huyo mwenye umri wa miaka 32 alikuwa akikaribia kujiunga na Chelsea 2005, huku Jose Mourinho akiweka pembeni kiasi cha pauni milioni £30 kabla ya wekundu hao kupata nafasi ya kucheza Ulaya na kumfanya kusalia.

Gerrard ametanabaisha kuwa miaka miwili Mourinho alimfuata alipokuwa meneja Santiago Bernabeu, lakini akasema kuwa alikataa kuondoka Anfield.

"I've had a couple of offers to go to Real Madrid during my career... it may be something I regret," he told reporters ahead of the Reds' clash with Los Blancos at Anfield on Wednesday night.

"However, it would have been a bigger regret if I had left the club I love: Liverpool."