KWA MAWASILIANO ZAIDI TUMIA BARUA PEPE rockersports212@yahoo.com AU TUPIGIE KUPITIA NAMBARI 0767166607 AU 0717166607. KARIBU SANA. 66666666607 AU 0717166607

Saturday, November 1, 2014

Leedas United kuuzwa kwa kigogo cha Formula One Red Bull

Mmiliki wa klabu ya Leeds United Massimo Cellino yuko katika mazungumzo na kigogo cha Formula One Red Bull juu ya uwezekano wa kuuzwa kwa klabu hiyo
Leeds United iko katika uwezekano wa kuuzwa baada ya kuwepo kwa mazungumzo yaliyopevuka na Red Bull.
Kigogo hicho cha F1 kimeonyesha nia kununua klabu hiyo inayoshiriki ligi ndogo ya England maarufu kama Championship tangu miezi 18 iliyopita lakini pande hizo mbili zilishindwa kufikia makubaliano kwa bei iliyotajwa kuwa ni pauni milioni £40.

Neil Redfearn was appointed Leeds manager this week following the sacking of Darko Milanic 
Neil Redfearn aliteuliwa kuwa meneja mpya wa Leeds wiki hii kufuatia kufukuzwa kazi kwa mtangulizi wake Darko Milanic 
Red Bull have enjoyed huge success in Formula One over the past few years
Red Bull imekuwa katika mafanikio makubwa katika michezo ya magari ya Formula One katika miaka ya hivi karibuni

Kwasasa tayari mazungumzo hayo yamerejea huku mmiliki Massimo Cellino, akizua gumzo kubwa kwa kufukuza mameneja wake wawili katika kipindi cha muda mfupi msimu huu.

Taarifa za hivi karibuni zinasema kuwa kiongozi mkuu wa Red Bull amekuwa katika mji wa Leeds tangu jumatano na anaendelea na mazungumzo na kutwaa klabu hiyo