KWA MAWASILIANO ZAIDI TUMIA BARUA PEPE rockersports212@yahoo.com AU TUPIGIE KUPITIA NAMBARI 0767166607 AU 0717166607. KARIBU SANA. 66666666607 AU 0717166607

Wednesday, August 25, 2010

Gallas anataka ubingwa akiwa na Spurs
Nyota mpya wa Tottenham William Gallas anaamini kuwa amejiunga na timu ambayo inacheza mchezo safi na kiwango bora kiasi kuwepo katika changamoto ya kuwania taji la uingereza ndani ya msimu huu.
Gallas mwenye umri wa miaka 33 amekuwa ni mchezaji wa kiwango cha juu kuhamia north London baada ya kufanywa hivyo na Sol Campbell jumapili ambaye ameingia mktaba wa mwaka mmoja.
Gallas anaamini kuwa atatumia mafanikio ya Campbell kutwaa taji la championship katika msimu wa kwanza akiwa na Arsenal na kwamba watatumia uzoefu huo kutwaa taji huko White Hart Lane.
Kuondoka kwa Gallas kumezua gumzo na maneno toka kwa mashabiki wa Arsenal na inaelezwa kuna baadhi ya mashabiki wamejiunga nao.

No comments:

Post a Comment