KWA MAWASILIANO ZAIDI TUMIA BARUA PEPE rockersports212@yahoo.com AU TUPIGIE KUPITIA NAMBARI 0767166607 AU 0717166607. KARIBU SANA. 66666666607 AU 0717166607

Monday, August 9, 2010

Hiyo ndiyo ngao ya jamii ambayo sasa bila shaka inasafisha njia ya mashetani wekundu manchester united baada ya kuwachapa mabingwa wa kandanda nchini uingereza 2009/2010 Chelsea katika mchezo ulipigwa katika dimba kubwa la Wembley leo tarehe 8/8/2010.TAZAMA PICHA MATUKIO YA MCHEZO HAPA CHINI

KATIKA PICHA HIYO NI FURAHA TUPU HASA MKIANZA MSIMU NA NGAO KAMA NII DAH!WAKATI MWINGINE BORA KUSOMA SMS KAMA MAMBO YANAKUWA MAGUMU .BIBIYE KAONA BORA AFUATILIE LUNGA LA UWANJANI PENGINE TUKIO LA KUANGALIA PITCH LILIKUWA LINAMDANGANYA
AIYA MAMA WEE! BARBATOV KACHOKA KUONEWA SASA MTAMJUA YEYE NANI HILARIO HO BIN TAABAN

MALOUDA NA VIDIC ILIKUWA KAZI LAKINI HATIMAYE KIKAELEWEKA

DAH! SI MCHEZO STAILI HII YA USHANGILIAJI ILIKUWA YA CRISTIANO RONALDO NAONA SASA HENANDES ANASONGA NAYO MSIMU HUU

HILO LILIKUWA TESO LA KWANZA TOKA KWA ANTONIO VALENCIA COLE HAAMINI
DOGO AMEANZA VIZURI MSIMU BILA SHAKA ATAENDELEA MAKALI YAHA MWANZO MWISHO


NGAO HII IMEPOKELEWA NA NAHODHA NIMANJA VIDIC KWA KUWA NAHODHA RIO FERDINAD HAKUWEPO MCHEZO LAKINI KAMUWALISHA


















No comments:

Post a Comment