KWA MAWASILIANO ZAIDI TUMIA BARUA PEPE rockersports212@yahoo.com AU TUPIGIE KUPITIA NAMBARI 0767166607 AU 0717166607. KARIBU SANA. 66666666607 AU 0717166607

Tuesday, August 24, 2010

WAKALI WA STARS KUWASILI KUANZIA JUMATANO KUJIANDAA KUWAVAA ALGERIA.WAKALI HAO NI HENRY JOSEPH,DANNY MRWANDA NA NIZAR KHALFAN





TIGER WOODS NA MKEWE ELINE NORDEGREN WATALIKIANA MAHAKAMANI Tiger Woods na mkewe Elin Nordegren wamelazimika kutalikiana kwa mujibu wa taarifa zilizo ripotiwa katika mtandao unaripoti taarifa za wacheza golf
Taarifa hiyo imekaririwa ikisomeka "We are sad that our marriage is over and we wish each other the very best for the future,".
Huku ikimalizia kwa kusema tumejipanga kufanya malezi ya watoto wetu wawili.
Taarifa hizi za kuachana kwa wanandoa hawa zinakuja miezi minane baada ya ajali mbaya ya gari iliyo tokea nje ya nyumba ya Mr Woods maaneno ya Florida ambayo ilihusishwa na kutokuaminiana kati ya Woods na Ms Nordegren.
Taarifa za ndani zinazo husu mambo ya kifedha zimewekwa hadharani lakini vyombo vya habari vya Marekani vinasema mke huyo wa zamani wa Woods atapokea zaidi ya dolari za kimarekani milioni 100.

Ndoa hiyo imevunjwa rasmi katika mahakama ya Bay County Circuit huko Florida chini ya Judge Judy Pittman Biebel katika kile kilichoelezwa kuwa ni kusikilizwa kwa muda mfupi ambapo wote Woods na Nordegren walikuwepo.

No comments:

Post a Comment