KWA MAWASILIANO ZAIDI TUMIA BARUA PEPE rockersports212@yahoo.com AU TUPIGIE KUPITIA NAMBARI 0767166607 AU 0717166607. KARIBU SANA. 66666666607 AU 0717166607

Saturday, July 30, 2011

Bosi wa Chelsea Andre Villas-Boas kuwapa nafasi wachezaji wote katika michezo ya kujifua kabla ya msimu. Bosi wa Chelsea Andre Villas-Boas anatazamia kutoa nafasi kwa wachezaji wake wote katika michezo ya kujipima nguvu kabla ya kuanza kwa msumu ikiwa ni pamoja na michezo ya kirafiki ya Barclays Asia Trophy dhidi ya Aston Villa.
The Blues ilipata ushindi katika mchezo safi na wakuvutia ushindi wa mabao 4-0 dhidi ya wenyeji Kitchee na kupata nafasi ya kucheza fainali dhidi ya kikosi cha kocha Alex McLeish Aston Villa wakati pia wakiwa na mchezo dhidi ya mabingwa wa Scottland Rangers kabla ya kuanza msimu msimu wa ligi .
Meneja huyo mreno amekuwa na furaha baada ya kuanza vizuri dhidi ya Kitchee ya Hong Kong na kusisitiza kuwa kila mchezaji anahitaji dakika nyingi kwa kadri itakavyo wezekana.
“We were able to make a good game against Kitchee and hopefully we will have a good game against Aston Villa which is the first Premier League opposition we face, the first and last in pre-season and hopefully we will be up to our standards in preparation,”
“I think our objective is to finish as equal as possible in terms of minutes played to everyone, what we will do against Aston Villa we will continue to do against Rangers, distributing minutes so everybody feels in shape.

No comments:

Post a Comment