Paraguay imemtangaza kocha wa Rubio Nu Francisco Arce kuwa kocha mpya wa timu ya taifa.
Ajira hiyo mpya ya Arce inafuatia kujiuzulu kwa Gerardo Martino mapema siku ya ijumaa(jana) baada ya kushindwa kutwaa taji la Copa America na kushika nafasi ya pili baada ya kufungwa na Uruguay katika fainali ya michuano hiyo.
Arce mwenye umri wa miaka 40 alikuwa ni mchezaji wa zamani wa timu ya taifa ya Paraguay katika kipindi cha uchezaji wake wa soka na mwaka 2007 alichukuliwa na klabu ya Rubio Nu kabla ya kutangaza kujiuzulu kazi hiyo.
Makamu wa Rais wa chama cha kandanda cha Paraguay Alejandro Dominguez,amekaririwa akitangaza ajira hiyo akisema
"From this date forward, Francisco Arce is no longer coach of Rubio Nu and he assumes the position of coach of the Paraguay national football team,"
"He will have all the freedom to work, just like all his predecessors did. We will support him at all times."

No comments:
Post a Comment