Mwenyekiti wa FKF Sam Keengu Nyamwea akiwa Rais wa FIFA Blatter |
Shirikisho la
soka nchini Kenya (FKF) limemsimamisha kazi makamu mwenyekiti wa shirikisho
hilo Sammy
Sholei pamoja
na mwenyekiti wa tawi la FKF mjini Nairobi Dan Shikanda
Sammy Sholei |
Kusimamishwa
kwao kazi kunaanza mara moja na kwamba hawatakiwi kujihusisha na shughuli
zozote za chama hicho kulingana na majukumu ya nafasi zao.
Taarifa kwa
vyombo vya habari ilisainiwa na mwenyekiti wa FKF Sam Keengu Nyamweya imesema
wawili hao wanatuhuma za kufanya mambo kinyume na taratibu na miongozo ya
shirikisho la soka duniani kupeleka kesi mahakama kuu.
Katika kikao
cha haraka kilicho pangwa na FKF na kuitishwa kama kikao cha dharura cha (NEC) kimeamua
kumteua kaimu makamu mwenyekiti Robert
Asembo kushika
nafasi ya Sholei.
Shikanda nafasi
yake itakaimiwa na Michael Ouma ambaye atafanya kazi mbili ikiwa ni pamoja na
makamu mwenyekiti wa FKF tawi la Nairobi.
“Owing to
the deliberations touching on and upon the perusal of Court
Papers in
Civil Case No 3480 of 2012 filed at Milimani Commercial
Courts
Nairobi by Sammy Sholei and Dan Shikanda against the
Federation,
the FKF NEC resolved that since the implications of the
said Court
case and the orders thereto are serious and grave
violations
of both the FIFA and Football Kenya Federation
Statutes,”said
the statement.
“The move,
added the statement, to challenge and stop the FKF SGM
and
Constitution by the two officials naturally attracts sanctions on
the two
which the FKF NEC has resolved to take action accordingly”
No comments:
Post a Comment