Emmnuel Adebayor |
Meneja wa Tottenham
Andre Villas-Boas amethibitisha juu ya kuwepo nia ya klabu yake kumsajili
mshambuliaji wa Manchester City Emmanuel Adebayor.
Mshambuliaji
huyo mwenye umri wa miaka 28 ndani ya jumla ya michezo 33 ameifungia timu yake
hiyo jumla ya mabao 17 akiwa ndani mkopo huko London kaskazini na taarifa zaidi zinasema zaidi ya
pauni milioni zinaandaliwa kwa ajili ya kukamilisha usajili wake wa minajili ya
kudumu.
Bosi huyo
mpya mreno amekuwa muwazi juu ya nia yake ya kuongeza mshambuliaji na kueleza
kutaka huduma ya ya Togolese huyo.
No comments:
Post a Comment