Mlinzi wa Real Madrid Pepe ameruhusiwa
Mlinzi wa Real
Madrid Pepe amtoka hospitali ya University La Paz baada ya kupata matibabu ya
kichwa kufuatia kugongana na mlinda mlango wake Iker Casillas.
mreno huyo
aliingia mapumziko wakati mchezo ukiwa katika matokeo ya sare 1-1 na Valencia ajali ambayo ilitpkana na Casillas kutaka kuokoa mpira wa kona na kisha
kugongana
Real Madrid imetoa
taarifa toka kwa daktari kupitia mtandao wa klabu na kuthibtisha kuwa mchezaji
huyo amepata discharged .
Skrtel aongeza mkataba Liverpool
Martin
Skrtel ameingia mkataba mpya na klabu yake ya Liverpool kwa kusaini mkataba wa
muda mrefu na klabu hiyo.
Akiwa kwasasa ana umri wa miaka 28-
alitangazwa kuwa mcheza bora wa klabu hiyo msimu uliopita na sasa
amezima uvumi kuwa anaondoka Anfield huku tayari kukukiwa na taarifa kuwa
huenda akaelekea Manchester City, Arsenal taarifa za kutaka kuelekea AC Milan na klabu yake ya zamani ya Zenit
St Petersburg .
"I'm
happy because I am a part of one of the biggest clubs in the world," he
told the club's official website.
Skrtel, alijiunga na Liverpool akitokea Zenit mwaka 2008.
kiungo wa Arsenal
Alex Song anatarajiwa kukamilisha uhamisho wake kuelekea Barcelona usiku huu.
kiungo huyo
mwenye umri wa miaka 24 raia wa Cameroon atasaini mkataba wa miaka mitano baada
ya vilabu hivyo viwili kukubaliana ada ya uhamisho ya pauni £15m.
Song amefanikiwa vipimo vya afya yake asubuhi ya leo.
No comments:
Post a Comment