Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na
Michezo Dkt. Fenella Mukangara akifungua Mkutano baina ya Baraza la
Michezo la Taifa (BMT) na wajumbe wa Kamati za Michezo za Mikoa
Tanzania Bara “Ma-RAS” (hawapo pichani) Jijini Dar es Salaam.Mkutano huo
unalengo la kujadili maendeleo ya Michezo nchini.
Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na
Michezo Dkt. Fenella Mukangara akisalimiana na RAS wa Njombe mara baada
ya kufungua kufungua Mkutano baina ya Baraza la Michezo la Taifa (BMT)
na wajumbe wa Kamati za Michezo za Mikoa Tanzania Bara Ma-RAS Jijini Dar
es Salaam.Mkutano huo unalengo la kujadili maendeleo ya Michezo nchini.
No comments:
Post a Comment