Jonathan Pitroipa akipongezwa baada ya kufunga bao la dakika ya nyongeza na kuivusha Bukinabe mpaka nusu fainali.
|
Burkina Faso imetinga nusu fainali ya michuano ya mataifa ya Afrika kwa mara ya kwanza tangu mwaka 1998 baada ya bao la dakika za nyongeza la Jonathan Pitroipa kuwapa ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Togo.
Burkina Faso sasa itakutakutana na Ghana keshokutwa huko
Nelspruit.
Kutolewa kwa Bukinabe sasa kunamfanya mshambuliaji Emmanuel Adebayor kurejea katika klabu yake ua Tottenham haraka kupunguza pressure ya bosi wake Andre Villas-Boas ambaye kwasasa hana raha baada ya mshambuliaji aliyekuwa amesalia Jermain
Defoe kuwa katika maumivu ya enka.
Boost: Emmanuel Adebayor anarejea Spurs kufuatia Togo kutolewa.
Adebayor alilimikia uwanja huu juu ya uwanja huo kuwa na hali ya mchanga. Huu ni wa uwanja wa Nelspruit.
Mfungaji wa bao la ushindi Jonathan Pitroipa akipongezwa na mashabiki wa Burkino Faso.
No comments:
Post a Comment