Bondia Maneno Osward kushoto akitunishiana msuli na Japhert Kaseba wakati wa utambulisho wa mpambano wao wa ubingwa wa Taifa Dar es salaam leo utakaosimamiwa na PST March 2 katika ukumbi wa DDC Magomeni Kondoa Picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com |
Mratibu wa mpambano wa ubingwa wa Taifa, Pendo Njau katikati akiwanyoosha mikono juu mabonia Maneno Osward kushoto na Japhert Kaseba wakati wa kutambulisha mpambano wao wa ubingwa wa Taifa utakaosimamiwa na PST March 2 katika ukumbi wa DDC Magomeni Kondoa Picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com |
No comments:
Post a Comment