Andy Murray amefanikiwa
kumdhoofisha Grigor Dimitrov kwa seti 7-6 (7-3) 6-3 na kuhatimaye kusonga mbele
kwa raundi ya nne ya michuano ya Miami Masters.
Bingwa huyo
wa US Open alipoteza sevu mbili mapema katika mchezo huo kabla ya kupata nguvu
mpya na kuokoa seti mbili kwa pointi 2-5.
Endapo
atashinda taji la michuano hiyo atakuwa moja kwa anakwenda kushika namba moja kwa
viwango vya ubora vya mchezo wa tenisi duniani mbele ya Roger Federer.
Kim Sears akimuangalia rafiki yake Murray akimchaopa Dimitrov.
No comments:
Post a Comment