KWA MAWASILIANO ZAIDI TUMIA BARUA PEPE rockersports212@yahoo.com AU TUPIGIE KUPITIA NAMBARI 0767166607 AU 0717166607. KARIBU SANA. 66666666607 AU 0717166607

Tuesday, March 26, 2013

KWENYE TENISI NAKO KUNA MAMBO JE WAJUA KUWA MWANA TENISI GRIGOR DIMITROV ANAWAVURUGA KIMAPENZI SERENA WILLIAMS NA MARIA SHARAPOVA KIASI KLUCHUKIWA NA WATU. STORY IKO HIVI.....

Catch: Grigor Dimitrov has snared both Maria Sharapova and Serena Williams if reports are to be believed
Grigor Dimitrov awavuruga Sharapova na Serena Williams kimapenzi.

 Usiku wa jana Andy Murry alikuwa akicheza pambano la mchezo wa raundi ya tatu la michuano ya Miami Masters dhidi ya Grigor Dimitrov.

Habari zinasema kuwa Murray alikuwa akicheza dhidi ya mpenzi mpya wa Maria Sharapova Dimitrov ambaye ni mwaka jana tu kidume hicho kilikuwa kiki-date na mcheza tenisi namba moja kwa upande wa wanawake Serena Williams ambaye amekuwa akitamba kwa zaidi ya miaka 10 katika mchezo huo duniani.

Hakuan taarifa kwasasa kama wawili hao wameachana.

 Andy Murray jana alifanikiwa kumchapa Dimitrov kwa seti 6-3 na 6-1na kumtoa katika michuano hiyo maamrufu ya Miami Masters.

 Grigor Dimitrov mwenye umri wa miaka 21, amekuwa akitazamwa vibaya tangu alipowasili katika michuano hiyo kutokana na kujihusisha na mapenzi na akina dada hao maarufu katika tenisi ( Serena na Sharapova) na mbaya zaidi katika kipindi cha muda mfupi.

Wakati wa michuano ua Australian Open mwezi Januari  Sharapova alinukuliwa akisema akisema michuano hiyo ilikuwa na joto la aina yake kutoka na sababu tofauti ambapo kauli hiyo ilihusihswa na joto lake la mapenzi baina yake na Dimitrov'.
Blowing a kiss: Could Dimitrov have been the intended recipient of this kiss
Inaaminika kuwa busu hili kutoka kwa Sharapova lilielekezwa kwa Dimitrov hapo jana.

 Wawili hao pia inaarifiwa mwaka jana wakati huo Dimitrov akiwa na Serena walikuwa wakivinjari katika mitaa ya jiji la MIAMI hali ambayo imezua minong'ono si tu kwa wadau wa mchezo huo bali pia hata kwa raia mitaani.

Kumbuka kuwa katika viwango vya ubora vya mchezo huo vinavyo tambuliwa na WTF,  kwasasa Serena Williams anaongoza kwa Ubora akifuatiwa na Maria Sharapova.
Prize: Serena Williams and Dimitrov have not denied that they were dating last year
Serena Williams na Dimitrov hawakuwahi kukanusha kuwa walikuwa ni wapenzi mwaka jana.

No comments:

Post a Comment