KWA MAWASILIANO ZAIDI TUMIA BARUA PEPE rockersports212@yahoo.com AU TUPIGIE KUPITIA NAMBARI 0767166607 AU 0717166607. KARIBU SANA. 66666666607 AU 0717166607

Saturday, March 30, 2013

Bosi wa Spurs anasema hawatafulia tena kama msimu uliopita na David Moyes ahakikishiwa fungu la kiangazi.



Andre Villas-Boas ametupilia mbali hoja juu ya madai kuwa Tottenham itarudia yale iliyofanya msimu uliopita kwa kushindwa kufuzu ligi ya mabingwa ulaya.


 Spurs walipanda katika msimamo wa ligi msimu uliopita wa Premier League mpaka ilipopata kichapo mwezi februari mchezo wa north London faida waliyokuwa nayo ya alama 10 juu ya Arsenal kutoweka baada ya kushuka mpaka nafasi ya nne .

Kwakuwa Chelsea walikuwa ni mabingwa wa Ulaya ubingwa walioupata mwezi May hiyo ilipelekea vijana hao wa London ya Kaskazini kukosa nafasi ya kushiriki ligi ya Ulaya.



Hata hivyo licha ya kupokea kichapo kutoka kwa Fulham March 17 , bosi wa Spurs Villas-Boas hana mashaka na matokeo hayo kwakuwa timu yake haiku katika mbaya za katikati kiasi kumkatisha tamaa.



Moyes apewa fungu la kuibadilisha Everton na sasa kuongeza mkataba.
 David Moyes amethibitisha kuwa atakuwa ni mwenye furaha kwa kuongeza mkataba wake wa kusalia Goodison Park, ambapo amesema bodi ya klabu hiyo imempatia fedha kuipeleka Everton katika kiwango kingine.

 Meneja huyo wa zamani wa Preston amekuwa na klabu hiyo wa miaka 11 ambapo mkataba wake wa sasa unatarajia kumalizika majira ya kiangazi na Chelsea inaarifiwa kuwa wana mnyemelea bosi huyo.

 Amenukuliwa akisema,

"Nataka Everton kuwa bora kama watu wanavyosema".

No comments:

Post a Comment