Manchester United ambao ndio mabingwa wa taji la ligi kuu nchini England hii baada ya kukabidhiwa kombe hilo hiyo jana hii leo wako katika sherehe ya pamoja na mashabiki wao katika mitaa ya jiji la Manchester.
Sir
Alex Ferguson amefanikiwa msimu huu kulirejesha kombe hilo la Premier League kutoka kwa Manchester City na jiji zima zima la Manchester likiwa limepambwa kwa shamra shamra.
Chini ni ramani ya njia ambayo itatumika katika kulisafirisha kombe hilo na kulionyesha kwa mashabiki.
Rio Ferdinand alii-tweet picha hii ikiwa ni maneno 'big dog'
Ni mwaka mmoja kamili tangu mshambuliaji Sergio Aguero wa Manchester City katika dakika ya mwisho ya mchezo alipofunga goli lililowapokonya taji United mwaka jana.
Mavazi yenye maneno ya nakshi za klabu ya United yakiuuzwa tangu mapema hii leo huku mvua ikinyesha.
Njia zimefungwa kwa muda kupisha msafara licha ya mvua kubwa kunyesha katika jiji la
Pichani juu:Mshambuliaji Robin van Persie akikusanya mazaga zaga yake huko Alderley Edge kabla ya msafara kuanza.
WITHOUT POSTER:
Rio Ferdinand ame-tweet tena picha hii akiwa na wenzake wakiwa pub.
Hili ni basi la msafara wa United. |
Wayne Rooney akiwa na mkewe Coleen kushoto na Robin van Persie akiwa na partner wake Jumapili usiku.
Picha juu: Wakongwe Paul Scholes na mkewe na Giggs akimshika mkono mkewe Stacey.
Rio Ferdinand alikuwa peke yake bila mkewe.
Kiungo kinda wa England Tom Cleverley akiwa na mpenzi wake Georgina Dorsett.
Leaving party? Rooney looks to be on his way
Mlinzi Phil Jones na mpenzi wake Kaya Hall.
Chris Smalling akijikongoja kwa msaada wa magongo yake wakati wakiwasili akiwa na mpenzi wake Sam Cooke.
Patrice Evra na mkewe Sandra.
Winga mreno Nani akiwa na mpenzi wake.
Flying solo: Shinji Kagawa na David De Gea waliwasili bila wapenzi wao.
Full house: The low key affair featured most of the Manchester United first team regulars
Shabiki akiwa amevalia kinyago cha Alex Ferguson.
No comments:
Post a Comment