KWA MAWASILIANO ZAIDI TUMIA BARUA PEPE rockersports212@yahoo.com AU TUPIGIE KUPITIA NAMBARI 0767166607 AU 0717166607. KARIBU SANA. 66666666607 AU 0717166607

Monday, May 13, 2013

MONACO YA UFARANSA KUMPA KIBARUA ROBERTO MANCINI ENDAPO MLANGO WA KUTOKEA ETIHAD STADIUM UTAFUNGULIWA

How did I end up here: Roberto Mancini leaves QPR's Loftus Road after a closed training session
Roberto Mancini akiondoka viunga vya QPR Loftus Road baada ya mazoezi ya Man City.
 Roberto Mancini ameorodheshwa katika orodha ya makocha watakao elekea katika klabu ya Monaco wakati mlango wa kutokea kocha huyo ukiwa unakaribia kufunguka kutoka Manchester City.

Monaco, ambayo imeaanza upya kujipanga kwa ajili kurejea katika ubora katika soka la Ufaransa kwasasa ina pesa nyingi kwa ajili ya kufanya usajili na tayari inakaribia kumalizia biashara ya mshambuliaji striker Rademel Falcao.

Mshahara wa mshambuliaji ndani ya Monaco ambaye amekuwa akitakiwa kwa muda mrefu na Chelsea, ni pauni milioni £8.5 ambapo thamani ya uhamisho wake umetajwa kuwa ni zaidi ya pauni milion £50.
The end is near: Mancini took training but it is unclear if he will be in the dug-out against Reading on Tuesday
Mancini akiwa mazoezi lakini bado haijafahamika kama atakuwepo katika dug-out katika mchezo wa kesho dhidi ya Reading hapo kesho.

Lone Ranger: Manchester City manager Roberto Mancini leaves Loftus Road after a closed training session as speculation mounts over his future
Meneja wa Manchester City Roberto Mancini akiondoka Loftus Road baada ya kufunga mazoezi leo asubuhi nini hatama yake ndani ya Manchester City.

Heading for the exit? Speculation is mounting that Mancini will not see out the season at City

On his way: Mancini leaves Loftus Road and gets into a people carrier insted of the team coach after training
Heading for training: Roberto Mancini leaves their hotel in London to head to Loftus Road for training
Roberto Mancini akiondoka hotelini jijini London akielekea mazoezini Loftus Road.

Mancini's full City record

Premier League:
133 games, 82 wins, 27 draws, 24 losses.
Win percentage: 61.7 per cent

FA Cup:
19 games, 13 wins, three draws, three losses.
Win percentage: 68 per cent

League Cup:
Nine games, four wins, one draw, four losses.
Win percentage: 44.4 per cent

Champions League:
12 games, three wins, four draws, five losses.
Win percentage: 25 per cent

Europa League:
16 games, 10 wins, three draws, three losses.
Win percentage: 62.5 per cent

Community Shield:
Two games, one win, one loss.
Win percentage: 50 per cent

Overall:
191 games, 113 wins, 38 draws, 40 losses.
Win percentage: 59.2 per cent

Baada ya mtaliano huyo kutwaa taji la ligi kuu ya England Barclays Premier League safari yake ya kusalia Etihad Stadium inaonekana kuingia mdudu baada ya klabu hiyo kuamua kumchukua kocha wa Malaga  Manuel Pellegrini kuziba nafasi yake lakini hata hivyo kocha mpya mtarajiwa raia wa Chile hajathibtisha kama tayari amesaini mkataba na City ama laa.

No comments:

Post a Comment