KWA MAWASILIANO ZAIDI TUMIA BARUA PEPE rockersports212@yahoo.com AU TUPIGIE KUPITIA NAMBARI 0767166607 AU 0717166607. KARIBU SANA. 66666666607 AU 0717166607

Monday, August 12, 2013

Nataka kucheza tena chini ya Jose Mourinho anasema Samwel Eto'o baada ya kutupiwa virago na Anzhi Makhachkala.

Seeking a move: Samuel Eto'o is keen on leaving Anzhi Mackhachkala, with Chelsea a possible destination
Samuel Eto'o anataka kuondoka Anzhi Mackhachkala, na  Chelsea ikiwa ni eneo linalowezekana kuelekea.

 Samuel Eto'o amefunguka juu ya uwezekano wa kuelekea Chelsea.
 
Mshambuliaji mkongwe huyo wa kimataifa wa Cameroon yuko katika hali ya kutaka kuondoka Urusi ambako amekuwa akiichezea Anzhi Makhachkala tangu 2011.

Msdhambuliaji huyo mwenye umri wa miaka 32 alitwaa mataji mawili ya klabu bingwa Ulaya akiwa na Barcelona wakati huo ikiwa chini ya Jose Mourinho pamoja na Inter Milan.
 
Chelsea ni miongoni mwa klabu ambazo zimekuwa zikifuatiali maendeleo yake licha ya kwamba inavyoonekana ni wazi kuwa huenda akaelekea Napoli, ambako wakala wake ameonyesha wazi kuwa klabu hiyo imeonyesha nia.

Akiongea hii leo yeye mwenyewe Eto'o amesema 
'Kuna Jose Mourinho mmoja tu. Nimecheza chini ya makocha wengi lakini hakukuwa na mtu niliyemkubali kama Jose.

'Ni miongoni mwa makocha bora duniani na tumepata mafanikio pamoja katika klabu ya Inter Milan. Ningependa kupata nafasi ya kucheza chini yake tena kwasababu haichoshi kucheza ukiwa na Jose karibu yake.
Italian job: Jose Mourinho led Inter Milan to the Champions League title in 2010, with the help of Eto'o
Jose Mourinho alipoiongoza Inter Milan kutwaa taji la Uvilabu Ulaya mwaka 2010, kutokana na msaada wa Eto'o
Italian job: Jose Mourinho led Inter Milan to the Champions League title, with the help of Eto'o
'Bila shaka Chelsea ni timu kibwa na endapo tutapata ofa ya kujadili basi mimi na wakala wangu tutaangalia hatua inayofuata.'

Kuhusiana na vilabu vya Italia, wakala wa Eto'o kwa upande wake amenukuliwa akisema 
'Imekuwa katika ndoto zake kuvaa jezi ya klabu ya ushindi kama Napoli. Hata hivyo bado hawajawasiliana nasi.'
Chelsea ambayo imekuwa ikisaka mshambuliaji tangu kurekea kwa Mourinho mpaka sasa imekuwa ikikumbwa na pingamizi la kumtaka Wayne Rooney. Klabu hiyo kutoka katika jiji la London imeshuhudia majaribio yake mawili ya kumtaka Rooney yakitupwa na Manchester United lakini imekuwa pia ikiweka nia ya kutaka kurejea tena kwa mara ya tatu kabla ya dirisha la usajili halijafungwa Septemba 2.

No comments:

Post a Comment