KWA MAWASILIANO ZAIDI TUMIA BARUA PEPE rockersports212@yahoo.com AU TUPIGIE KUPITIA NAMBARI 0767166607 AU 0717166607. KARIBU SANA. 66666666607 AU 0717166607

Thursday, September 12, 2013

Familia ya Ozil yatishia kumshitaki Rais wa Real Madrid kwa madai ya kumfukuzia Miss Venezuela.

Happy to be here: Mesut Ozil (right) trains for the first time at Arsenal, with Germany team-mate Per Mertesacker
Mesut Ozil (kulia) akifanya mazoezi kwa mara ya kwanza ndani ya Arsenal akiwa Mjerumani mwenzake Mertesacker.
Mesut Ozil
Mesut Ozil
Stretching a point: Ozil puts his arms up as Mertesacker towers over him
Ozil na Mertesacker

Meeting the boss: Arsene Wenger, Ozil, Mertesacker and No 2 Steve Bould walk to training
Arsene Wenger, Ozil, Mertesacker Steve Bould wakitembea wakati wa mazoezi.

High and drei: Arsenal's German contingent Lukas Podolski, Ozil and Mertesacker before training
Wajerumani wa Arsenal, Lukas Podolski, Ozil na Mertesacker wakitabasamu.
Familia ya Mesut Ozil imetishia kumshitaki mwenyekiti wa Real Madrid Florentino Perez juu ya madai yake kuwa mahusiano ya kimapenzi ya nyota huyo na mrembo kutoka Amerika ya kusini yameathiri kiwango cha kiungo huyo akiwa na klabu ya Real Madrid kule Bernabeu.
Baba yake na Ozil, Mustafa amemjibu Perez, wakati huu ambapo kiungo amejiunga kwa mara ya kwanza na Arsenal baada ya kusajiliwa kwa uhamisho wa rekodi ya klabu hiyo na leo akiaanza mazoezi katika viunga vya uwanja wa mazoezi wa Colney, na kusema atachukua hatua za kisheria dhidi ya Rais wa Real.
Ametumia mashambulizi ya Perez yaliyoandikwa katika magazeti ya Hispania yakidai kuwa kiwango cha Ozil ndani ya Real yaliaathiriwa na uhusiano wake na Miss Venezuela wa zamani, Aida Yespica.
 Kwasasa Ozil yuko na mwimbaji wa kijerumani Mandy Capristo na wanajipanga kuishi maisha mapya ndani ya jiji la London baada ya kujiunga na Arsenal


Aida Yespica
Venezuelan showgirl Aida Yespica

Miss Venezuela Aida Yespica pichani juu.
 
Akiongea mara baada ya mazoezi kwa mara ya kwanza akiwa na klabu ya Arsenal, Ozil amesema hawezi kusema kitu kibaya juu ya Madrid kwasababu amekuwepo pale kwa miaka mitatu na kushinda mataji.
Watu wananijua nilivyo mweledi. Nimecheza michezo 159 kama si mweledi huwezi kufanya hivyo. Tetesi zote sijali nina kazi mpya na ninatazama mbele.Controversial: Some Madrid fans and players are dismayed by the sale of Ozil

Mandy Capristo
Mesut Ozil

Together: The couple have been dating for less than a year but seem particularly loved-up
Mandy Capristo na Ozil

No comments:

Post a Comment