KWA MAWASILIANO ZAIDI TUMIA BARUA PEPE rockersports212@yahoo.com AU TUPIGIE KUPITIA NAMBARI 0767166607 AU 0717166607. KARIBU SANA. 66666666607 AU 0717166607

Thursday, September 12, 2013

Wenger anasema ataondoka kwa washika mitutu endapo atashindwa kutwaa taji msimu huu.

Uncertain future: Arsene Wenger lined up alongside new signing Mesut Ozil at Thursday's press conference
Arsene Wenger sambamba na Mesut Ozil katika mkutano na waandishi wa habari hii leo.
Colney training: Arsene Wenger, Mesut Ozil, Per Mertesacker and assistant manager Steve Bould
Colney training: Arsene Wenger, Mesut Ozil, Per Mertesacker na meneja msaidizi Steve Bould
Trophyless: Arsenal's last silverware was the 2005 FA Cup won at the Millennium Stadium
Arsenal ilitwaa taji kwa mara ya mwisho mwaka 2005 taji la FA katika dimba la Millennium

Arsene Wenger amesema kuwa ataondoka katika klabu ya Arsenal ikiwa klabu hiyo itashindwa kutwaa taji msimu huu.
Meneja huyo mwenye umri wa miaka 63 mkataba wake unatarajiwa kumalizika June 2014 na kumekuwepo na tetesi juu ya hatma yake ndani ya klabu hiyo.
Arsenal haijatwaa kombe tangu mwaka 2005 na Wenger anasema hakuna mazungumzo mapya yalipangwa juu yake.

'Hakuna mazungumzo mapya yaliyowekwa mezani. Mwisho wa msimu kitaamuliwa juu ya nini nilichokifanyia klabu hii.Unamjadili meneja kwa kile alichokifanya ndani ya timu,' amesema Wenger.

'Hatuna haraka. Tuko ndani ya mwezi wa Septemba mkataba wangu unamalizika mwezi June. Ni safari ndefu ya kwenda.'
The Gunners watakabiliana na Sunderland katika dimba la Stadium of Light Jumamosi wakiwa wanakabiliwa na upungufu wa mshambuliaji Yaya Sanogo aliye majeruhi na Olivier Giroud akiwa ndiye mshambuliaji pekee aliyesalia anayeeleweka.
Wenger anatarajiwa kumtumia kwa mara ya kwanza Mesut Ozil huku bosi huyo wa Arsenal akigoma kuthibitisha kumtumia mchezaji huyo wa kimataifa wa Ujerumani ambaye huenda akawa ni tegemeo latika ligi.


Top dog: Arsene Wenger broke Arsenal's transfer record to bring Mesut Ozil from Real Madrid
Welcome to London: Arsene Wenger leads Mesut Ozil out on to the training ground at London Colney

No comments:

Post a Comment